Lite.
Hiyo 1NZ au 2NZ zisikutishe kwani hizo ni Internal cooling system accessories. mathalan huku kwetu sometimes joto linafika hadi 50 centgrade ni lazima tutumie magari yenye extra cooling system ndio maana tunapendelea zaidi 2NZ. Lakin mfumo na ufanyaji kazi wa engine zote hizo ni sawasawa kabisa na matumizi yake ya mafuta ni sawa sawa.
Kwa huko Tanzania mnatumia aina zote hazina shida sana kwani nyie huko max joto lenu ni 33 centigrade.
Bei zake zote zipo sawa inategemea imetengenezwa mwaka gani. Mathalan jana nilipita show room nikaona IST moja ya mwaka 2012 rangi ya grey ilikuwa ikiuzwa $6000.