Acha Urongo hakuna ist yenye engine kubwa ya cc 1920 hyo engine itakaaje hizo labda ni gx 100 zina 1G ambazo cc 1990, kama hujui nyamaza, ni 1290 cc au cc 1490 kuna 1NZ AU 2NZ
Kuna mdau anauza IST kwa 12 hapo juu. Kwa Sita huyu jamaa labda apate starlet kwani atanunua CIF 3... Na kodi itamla max 3. Hiyo Sita anaweza pata used hapa kwetu.