Sodoku Myebusi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,313
- 3,001
jivute kidogo, vya bei poah mda mwingine ni aghali.Nahitaji Toyota IST namba D... Tafadhali tuwasiliane haraka Budget Mil 7.8 kama kichwa cha habari kinavyosema kama una hiyo gari katika hali nzuri naomba uni PM ili tuweze kuongea Biashara. UWE DAR ES SALAAM nipo nilipo.
Acha undezi wa kukurupuka kucoment bila kusoma.Mbona mataili hayana upepo kiongozi
Acha undezi wa kukurupuka kucoment bila kusoma.
Amekwambia ana TAFUTA na sio kuuza.
Ndio Matatizo ya kulala sebuleni kwa shemeji.Safi sana jike shupa kwakua makini
Acha undezi wa kukurupuka kucoment bila kusoma.
Amekwambia ana TAFUTA na sio kuuza.
jivute kidogo, vya bei poah mda mwingine ni aghali.
We dalali