Toyota ist mpya toka japan inauzwa kwa bei poa

Jamani tusiwe waoga sana na tujitahidi kuchunguza vitu kwa kina. D4-D au D4 Engines hazina matatizo. sisi ndiyo tuna matatizo. ndugu yangu anayo rav 4 ya 2001 tangu 2007 na ndo gari pekee mji ule. inatumika daily na haijawahi kupata engine mulfunction mpaka leo zaidi ya service za kawaida za kumwaga oil. na engine hizo ndo zipo kwenye premio, opa na magari mengine mengi. kumbuka magari ya toyota hutumia engine aina moja kwa magari aina tofauti. kama engine za coaster zipo kwenye landcquiser nk. Wengine watakuambia hata VVT-i ni kimeo na hazifai. siyo kweli hata kidogo. tatizo tunapenda cheap stuffs. unataka mafuta ya chee. nenda TOTAL au BP. D4 ni direct injection 4 stroke, na VVT-I ni variable valve timing with intelligence. ni miundo mipya ya engine za toyota. hazitaki mafuta machafu, na ndo maana magari ya mkulu hayakuwaka na walipobadili mafuta hujasikia tena. kwa kesi ya GDI kwangu nitasema nionavyo. magari ya mitsubishi ni soo. kama waweza kuyaepuka ni vizuri zaidi. hasa haya madogo ya kati au SUV. Ni pasua kichwa na spea juu. hivyo nendeni na technologia mpya. msinunue magari ya kizamani kisa woga. kuna kompyuta ukienda likawekwa pale utajua linaumwa nini na si kurev injini tena. nawasilisha jamani.
 
Je Subaru Legacy b4 rsk twin turbo unaizungumzia vipi mkuu?

Pamoja na magari aina ya Pajero GDI na Subaru Forester ni vimeo, hayo magari yanasumbua sana, inabidi ujenge urafiki na fundi.
 
Bodi zuri lakini injini mmmmh ni kama wale wadada zetu wanaokaa nusu uchi huku tayari wameoza ukiwaangalia kwa nje ni bomba mbaya
 
Back
Top Bottom