Kumbe nia yenu kuwaingiza watu mkenge?!Hapo hata nane tano hakupi
[emoji15]mbona bei kubwa hivo wakati thamani ni kama 5M
Nikiona hiz gar kichwa kinauma nakunbuka brek ilifail nikaigonga dahh yangu premio ilivunjika taa tu hii gar ikawa nyang'a nyang'a ...niliapa hata bure staki ...nisamehe kwa kuja huku ila nataman hizi nailon hata zisitishwe kuja bongo hasa "mbich" kama hzo walau basi wasitengenezee mabat ....MILIAGE 89000
Cc 1290
BEI YA KUUZWA 9 MILION..MAONGEZI KIDOGO YAPO
GARI HAIDAIWI,IKO FULL KILA IDARA
KWA MTU AMBAYE ATAVUTIWA NAYO KUIONA NA KUFANYA BIASHARA TUWASILIANE KUPITIA # HII..0715591141DSM..
View attachment 427798 View attachment 427799 View attachment 427800 View attachment 427801 View attachment 427802 View attachment 427803 View attachment 427804
Umeongea ukwel braza...yaan hz gari Sijui ist,premio,alteza,vitz,brevis..nk..ni lain kama rizla...tatizo wabongo wengi tumekariri magari .Nikiona hiz gar kichwa kinauma nakunbuka brek ilifail nikaigonga dahh yangu premio ilivunjika taa tu hii gar ikawa nyang'a nyang'a ...niliapa hata bure staki ...nisamehe kwa kuja huku ila nataman hizi nailon hata zisitishwe kuja bongo hasa "mbich" kama hzo walau basi wasitengenezee mabat ....