Kwa bei hiyo ni ngumu kupata gari nzuri unayohitajihabarini ndugu zangu
naitaji toyota ist kwa shilingi za kitanzania 4ml yeyote mwenyekujua naomba ani PM please
Mkuu kupata utaipata ila sasa itakua sio nzima kiviile maana mm nilifika had Mil.7 ila ilikua ngumu kupata hadi nilipoongezeahabarini ndugu zangu
naitaji toyota ist kwa shilingi za kitanzania 4ml yeyote mwenyekujua naomba ani PM please