Toyota Isis wanted urgently

Toyota Isis wanted urgently

Kwa Tanzania tabu sana kupata.Nakusuhauri nenda Libya,Israel,Iraq,Palestina na ukanda wote wa kiarabu
 
Jaribu pale Mnazi mmoja
ika magari hayo yana soko sana hasa kwa nchi zenye ucjumi mdogo.Very economy. Zinaobekena kununliwa sana ndo maana zinapanda bei sana
 
Aisee........
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    85.2 KB · Views: 252
Mimi nahitaji toyota boko haram ntalipata wapi
 
Unaishi Kibaha nini unataka uwe unashare gharama za mafuta na abiria wajao town na kutoka jijini jioni,maana ndio zao wakazi Wa kiluvya,Kibaha kununua magari kama mabasi wanawaza mbali....
 
Unaishi Kibaha nini unataka uwe unashare gharama za mafuta na abiria wajao town na kutoka jijini jioni,maana ndio zao wakazi Wa kiluvya,Kibaha kununua magari kama mabasi wanawaza mbali....
Ayayaa gechie mbona unaniambia ukweli.mbele za watu aisee?dah so vizuri
Wadau bado haijapatikana?naongeza 200 ya dalali
 
Mpwa me nilikuwa natania Dully,me mwenyewe nikitoka tabata kwenda town naunga vichwa vitatu vinne,ndio life letu la bongo kisela so usikonde Kamanda wangu Duly
 
Back
Top Bottom