Hatuna highways kaka kama Japan na Kwingineko barabara zetu asilimia 99 ni za magari kupishanaAiseeee, sikua najua kua aina ya gari inaweza kua suitable baadhi ya sehemu na sehemu nyingine isiwe. Anyway Bwana anatoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
Udereva wa mitaani.... Hakuna hata nafasi ya kufundishwa kuhusu uchumi na athari za mwendokasiPole kwa waliofikwa na hayo. Ukiangalia siku hizi madereva wengi wanajua kukanyaga mafuta na break basi. Sheria na alama za barabarani hawazijui, na wanaozijua baadhi hawazifuati kabisa, achilia mbali kujua uwezo wa gari na namna ya kulihandle barabarani ndio shida kubwa zaidi.
Duh, barabara chache sana huku za kumaliza kisahani!Mzuka wa kumaliza kisahani
Mzuka wa kumaliza kisahani