Toyota Hilux Pickup 12R Inauzwa

Ila kusema kuwa inapita sehemu ambazo Nissan 2.8 haipiti HII SI KWELI!!

Poleni wakuu kwa kuliponda Nissan 2.8 kiasi flani. Actually, nilimaanisha it's not a gud idea kwenda na 2.8 barabara mbovu maana halita stahimili kwa muda mrefu.

Wenye 2.8 msije mkanikaba koo wazee!
 
Poleni wakuu kwa kuliponda Nissan 2.8 kiasi flani. Actually, nilimaanisha it's not a gud idea kwenda na 2.8 barabara mbovu maana halita stahimili kwa muda mrefu.

Wenye 2.8 msije mkanikaba koo wazee!

Ok Mkuu nimekuelewa sasa. Ila hizo Hilux nazijua sana na binafsi naona bei ni poa sana. Kila na heri na atakeye nunua kwa kweli atakuwa amepata STEEL!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom