TOYOTA HIACE 1998 MODEL INAUZWA

LJ BLOG

Senior Member
Jul 24, 2011
194
151
Nauza Toyota Hiace 1998 Model ambayo bado haijafika Dar Es Salaam, Ila Kwa taarifa za Shipper wangu Ni Kwamba meli inaingia Tarehe 27 Mwezi Huu kutokea Japan..Lakini kwa taarifa za Agent wangu ni kwamba inaweza kuingia kuanzia Wiki ijao Jumatano......Na Hizi ndio Maelezo yake na picha ...Gari hii ikitoka bandari inakuwa ishalipiwa Ushuru, Usajili kinachobaki ni Kukatia Bima Tu.

TOYOTA HIACE 1998
Mileage 82,803
Model Code KG-LH186B
Registration Year/Month 1998/11
Model Grade HIGH ROOF
Engine Size 2980
Drive 4wheel drive
Ext. Color White
Steering Right
Transmission Automatic
Fuel Diesel
Seats 8
Doors 4


Ukiipenda tuwasiliane kwa namba 0712 390 200
 

Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    22.2 KB · Views: 255
  • 2.jpg
    2.jpg
    24.8 KB · Views: 338
  • 3.jpg
    3.jpg
    24.6 KB · Views: 233
  • 4.jpg
    4.jpg
    29.4 KB · Views: 219
  • 5.jpg
    5.jpg
    30.1 KB · Views: 188
  • 6.jpg
    6.jpg
    21.4 KB · Views: 153
  • 7.jpg
    7.jpg
    24.9 KB · Views: 173
  • 8.jpg
    8.jpg
    33.3 KB · Views: 179
  • 9.jpg
    9.jpg
    30.4 KB · Views: 163
  • 10.jpg
    10.jpg
    33.3 KB · Views: 153
Samahanini nilisahau kuandika Bei..Bei ni Milioni 30 Pungufu kidogo tunaweza kuongea.
Sababu ya Kuuza ni moja ya biashara zangu nazofanya za kuuza magari @onyx
 
Unanunua gari zuri kama hili afu madereva wanalichakaza ndani ya mwezi mmoja! Ndicho kilichonitokea mimi.. Atayenunua ahakikishe anakatia bima kubwa kabla ya kuliingiza barabarani...
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom