Toyota hiace super roof inahitajika

Da Womanizer

JF-Expert Member
May 24, 2010
1,577
148
Kama kuna mtu yeyote anayemiliki gari niliyotaja hapo juu iliyo kwenye hali nzuri na anafikiria kuiuza naomba anijulishe.
Angalizo: Bei isizidi Tshs 11,000,000/=
 
Kama kuna mtu yeyote anayemiliki gari niliyotaja hapo juu iliyo kwenye hali nzuri na anafikiria kuiuza naomba anijulishe.
Angalizo: Bei isizidi Tshs 11,000,000/=

ipo moja katika hali nzuri tu na inapiga mzigo kigamboni mpaka sasa. fully registered and insured, ni tzs 8M tu. Ni-PM
 
Hiace ya bei hiyo haiwezi Kuwa ktk Hali nzuri...Inategemea Kama ni manual au auto,petrol au disel nk...lakini kwa 10ml hiace dungu ni ngumu kuipata labda ya Mwaka 1995
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…