Kwa ambaye yupo serious.Gari hii ipo vizuri sana
mi nahitaji urgently Toyota hiace HRZ 112....! mpya with new plate,bajeti 21M!
duuh km vokswagen injini nyuma zile za kizamaniiii...any way bei ya mwisho ngapi mkuu?
Hiyo avetor yako mkuu mhh!!Kwa route zako za Ntwara inakufaa