Toyota Hiace (2001) For Sale

Toyota Hiace (2001) For Sale

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,684
Reaction score
12,451
Model. 1KZ engine
cc. 3000
km.200,000
Bei. 12,500,000/
IMG_20140718_154919.jpgIMG_20140718_152651.jpg
 

Attachments

  • IMG_20140718_154942.jpg
    IMG_20140718_154942.jpg
    320.3 KB · Views: 337
Automatic gear,Two wheel drive.Ipo kwenye hali nzuri sana.
 
Lingekuwa kyela ningenunua la kubebea ndizi kwenda mnadani, sasa huko dar litafikaje mbeya?
 
Na wew mwenye gari bei haipungui pungi kidogo??? Na utuambie ni ya mwaka gani na imetumika kwa muda gani, na jee haina hitlafu
 
Ni ya 2001.imeandikwa kwenye kichwa cha habari.kama upo serious,mazungumzo yapo
 
Hilo gari mmmh sijui ulianzaje kununua🙉🙉🙉
 
Hilo gari mmmh sijui ulianzaje kununua
kwani lina tatizo gani?[MENTION]Jerrymsigwa[/MENTION]
Kama una ndugu yako au rafiki anahitaji gari ya kazi,kubebea watoto wa shule,usafirishaji nk inafaa sana
 
Na wew mwenye gari bei haipungui pungi kidogo??? Na utuambie ni ya mwaka gani na imetumika kwa muda gani, na jee haina hitlafu
kama una nia bei inapungua kidogo mkuu
 
mi nahitaji urgently Toyota hiace HRZ 112....! mpya with new plate,bajeti 21M!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom