Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,234
- 1,503
Ninataka kununuwa Harrier, lakini kuna mdau mwenye uzoefu kaniambia Harrier siyo gari za kununuwa. Spare zake ni adimu pia zina tatizo la ku-knock engine. Je wakuu, hizi taarfa zina ukweli wowote? Naomba wanaomiliki au mwingine mwenye uzoefu na hizi gari wanipe habari.