Hiyo hunitokea kwa v8Hata mi nalipenda kweli hili gari..nlikua nkikutana nalo lazima nlisindikizs kwa macho huku roho inauma
Hiyo gari ni milion 27?Gari zuri sana mkuu ukiwa waendesha unaenjoy kwa haya magari yetu 2nd hand. Ulaji wake wa mafta wa kawaida sana lina CC2400. service yake kama ya altezza tu mkuu. Ukiagiza ukawa makini utalipata kwa mls 22-23. Nililimiki 2015 kipindi hicho mpaka hapa lilini cost 27 mls na showroom walikuwa wanauza 32
Aisee kumbe tupo wengi hivi mie napigania nije miliki hii January
that was 2015, ambapo showroom nyingi zilikuwa zinayauza 32 hpa DSM, kwa sasa ukiagiza ni mls 22-23Hiyo gari ni milion 27?
Gari zuri sana mkuu ukiwa waendesha unaenjoy kwa haya magari yetu 2nd hand. Ulaji wake wa mafta wa kawaida sana lina CC2400. service yake kama ya altezza tu mkuu. Ukiagiza ukawa makini utalipata kwa mls 22-23. Nililimiki 2015 kipindi hicho mpaka hapa lilini cost 27 mls na showroom walikuwa wanauza 32
Huko mbali sana..Hiyo hunitokea kwa v8
Njoo inbox tuyajenge nikununulieHuko mbali sana..
Hahaha sajuuNjoo inbox tuyajenge nikununulie
Ndio tena sanaHuko mbali sana..
πππHahaha sajuu
Uswahilini tunaita Harrier MKUND.U WA NYANIAwali ya yote naomba maoni yenu juu ya Toyota harrier G240 hili gari nimekuwa nikilifatilia kwa ukaribu kupitia mitandao ya kijamii YouTube IG
Nimevutiwa nalo soon nahitaji kuingia shows room nikalibebe ila sitaki nikurupuke ambae anamiliki au kuliendesha naomba anipe changamoto zake
Ulaji wa mafuta maintenance nk.....
Karibuni....View attachment 975483
Ni nzuri wanaliita mgongo Wa chura...shida linakula sana mafutaAwali ya yote naomba maoni yenu juu ya Toyota harrier G240 hili gari nimekuwa nikilifatilia kwa ukaribu kupitia mitandao ya kijamii YouTube IG
Nimevutiwa nalo soon nahitaji kuingia shows room nikalibebe ila sitaki nikurupuke ambae anamiliki au kuliendesha naomba anipe changamoto zake
Ulaji wa mafuta maintenance nk.....
Karibuni....View attachment 975483
Mkuu changamoto ya kumiliki gari nyeusi kwa hapa Dar upande wa joto ukoje??Gari zuri sana mkuu ukiwa waendesha unaenjoy kwa haya magari yetu 2nd hand. Ulaji wake wa mafta wa kawaida sana lina CC2400. service yake kama ya altezza tu mkuu. Ukiagiza ukawa makini utalipata kwa mls 22-23. Nililimiki 2015 kipindi hicho mpaka hapa lilini cost 27 mls na showroom walikuwa wanauza 32