Toyota gx 110 inauzwa

Toyota gx 110 inauzwa

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
2001 number c ipo Dar bei 7.5m millege 75,000km . Tuwasiliane
0657145555 picha zinasumbua apload nichech whats up nikutumie
 
Yaani unaulizia accident ya kukwaruzwa kwa gari za dar? wewe hauko serious

Kwa nini sipo serious....hiyo gari ni kubwa na ulaji wa mafuta ni mkubwa pia ili na mimi niweze kuiza nilazima nijue hali yake halisi,mikoani kuuza gari yenye scratches au iliyojazwa ugali...PUTTY......ni shida sana.declaration....mimi ni mfanyabiashara wa magari dar to mikoani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom