Gari ainaya toyota forturner inauzwa ni ya mwaka 2008 ni manual inatumia disel imported from south africa bado haijasajiliwa, bei ml 35 interested customer pls contact me 0714560921
Picha hazifunguki. Why so cheap, inatembea? Imelipiwa kodi?
Ndio tatizo lenu wabongo,angesema bei ni 75m still mngeuliza why so expensive lol!Picha hazifunguki. Why so cheap, inatembea? Imelipiwa kodi?
Hili halijalipiwa kodi Mkuu, dawa yake hili ni kulichapia gia hvohvo bila kulisajili, ukijisalimisha TRA kodi ya hii ni ndoa, litagota 48M hivi!Picha hazifunguki. Why so cheap, inatembea? Imelipiwa kodi?