DOKEZO
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 322
- 496
Habari wakuu.Nataka kununua hii gari toyota fielder, je kwa wanaofahamu sasa hivi bei zake ikoje? Vipi walau utapata kwa nafuu ukinunua hapa hapa au ukiagiza? Lakini je kwa hapahapa Yadi ipi wanapouza ukienda uhakika unazikuta? Je kama kwa kuagiza kupitia kampuni ipi ndio uhakika zaidi?