Toyota crown royal saloon vs subaru regency b4

Johnkelly

Member
Nov 14, 2016
75
45
Wadau kwema naomba kujuzwa kata ya hizo gari mbili twajwa hapo juu toyota crown royal na subaru regance b4 na gari zenyewe ni hizi ktk picha
a7a6b2998aa4d0d79186984d10463e6c.jpg
na
be407eea32e3af998f4f10a764b44ed7.jpg
hpi nziri ktk ulajiji wa mafuta.Safari.Body.Spear na comfortable
 
Comfortability ipo kwenye crown

Safar zote hapo hamna kitu mzee.labda safari ukimaanisha dar-tanga, dar bagamyo au dar Moro.
 
Mafuta obviously crown anakula zaidi.huyu Ana cylinder mbili zaidi ya subie,

But subie Ana torque zaidi,Ana accerelate haraka from 0-60 before crown

subie Ana addition ya speed 126 mph dhidi ya 124 mph ya crown

Subie ni nzito kuliko crown,Ana uzito wa ujumla wa kg 2075 wakat crown Ana less kwa 115kg.
 
Dah mbona mimi na Vitz natoka nayo Dar -Bujumbura
Crown ndio Dar-Moro?

Haha
Tatzo Hawa vjana wakisikia six cylinder ama wakiona kwenye dashboard 240km zipo kwenye kisahani na wanavobanwa na foleni za hapa mjini wakipata mikeka wanafungulia zote za kwenye sahani hamadi bin vuu kona kali.

Sasa ndo maana nkasema Safar hazina.ni heri upinduke na rav 4 mzee kuliko hizi njemba..
 
Wadau kwema naomba kujuzwa kata ya hizo gari mbili twajwa hapo juu toyota crown royal na subaru regance b4 na gari zenyewe ni hizi ktk picha
a7a6b2998aa4d0d79186984d10463e6c.jpg
na
be407eea32e3af998f4f10a764b44ed7.jpg
hpi nziri ktk ulajiji wa mafuta.Safari.Body.Spear na comfortable
66e457a3d4c674c21509c08bfe2ac254.jpg
mkuu njoo nikupe hii kwa ml 16.
 
Crown aisee balaa. Mteja mmoja alikuja kuagiza kwetu pale SBT Japan, juzikati imetoka Gari hii....dah very excellent: Ndani na nje...yaani dah Gari ile ni sedan ya ukweli...ila tu wese ndo inakunywa hasa safari fupifupi na foleni.
 
Mafuta obviously crown anakula zaidi.huyu Ana cylinder mbili zaidi ya subie,

But subie Ana torque zaidi,Ana accerelate haraka from 0-60 before crown

subie Ana addition ya speed 126 mph dhidi ya 124 mph ya crown

Subie ni nzito kuliko crown,Ana uzito wa ujumla wa kg 2075 wakat crown Ana less kwa 115kg.
Hapo kwenye uzito sio kweli.....Crown ina uzito zaidi ya Legacy B4
 
Crown aisee balaa. Mteja mmoja alikuja kuagiza kwetu pale SBT Japan, juzikati imetoka Gari hii....dah very excellent: Ndani na nje...yaani dah Gari ile ni sedan ya ukweli...ila tu wese ndo inakunywa hasa safari fupifupi na foleni.
Huwez kuiweka engine ya vits???
 
Back
Top Bottom