Toyota Crown Royal Saloon for SALE!!!!

Toyota Crown Royal Saloon for SALE!!!!

kalou

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2009
Posts
4,992
Reaction score
3,882
iko katika hali nzuri sanaa...
ina muonekano mzuri sana..
CC 2000
six Cylinders
very comfortable car...kwa wale wanaozifahamu hizi ni mashahidi wangu..
Selling Price 4,500,000/=
Kama una interest tafadhali tuma PM
Gari liko hapa hapa mjini Dar es salaam..
attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • IMG_0001.JPG
    IMG_0001.JPG
    1.4 MB · Views: 711
  • IMG_0002.JPG
    IMG_0002.JPG
    1.3 MB · Views: 655
  • IMG_0003.JPG
    IMG_0003.JPG
    1.5 MB · Views: 658
Goma limetulia kweli mwana.
Manual au automatic?
Naomba majibu mkuu kabla hatujaanza nego
 
Hapo ndo biashara ilipoingia 'mma'

Automatic ndiyo tech ya sasa hivi kwa magari. mambo ya manual yamepitwa na wakati.
Kwa hiz 6 cylinder ishu ni fuel consumption, zinakula sana. Kama unauwezo wa kujaza mafuta haina noma ni gari nzuri sana
 
Mkuu mi kama napenda mchemsho na we wapenda vya kukaanga kila mtu na aendelee na upenzi wake.
Mi manual ndo mpango mzima. In fact we unasema ishu ni kupitwa na wakati unadhani kuna kitu hapa duniani ambacho hakijapitwa na wakati?
hakuna jipya chini ya jua. Inategemea tu we mwenyewe unataka nini.
 
Umesomeka mkuu..
 
Vp historia ya ajali..imeshawahi kugonga au kugongwa..bcoz ckuhiz watu wanauza magari yamepigwa filler unaendesha ckumbili unaona rangi inatoa ufa!
 
Haijawahi kupata ajali ....
 
Mm nadhani kama mtu huna hela au hunampango wakununua kitu kinachotangazwa bora upite tu!tuache ujinga maana mtu hapo angejibiwa ni manual angesema anataka automatic. Angeambiwa 2m angesema ana laki moja akiona gari jeusi anasema anataka jekundu ooh lakunywa mafuta sasa ww ushaambiwa ni six cylinder unadhani litakunywa kiroba au!pumbavuu if u gat no money ---- off

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Mkuu usikatishwe tamaa na comment za aina hizo...wanunuaji serious wanawasiliana na mimi PM kwa kujua zaidi na kuomba kuliona gari..
 
Back
Top Bottom