Toyota crown athlete yoyote mwenye gari hii ikoje kwa matumizi

rabiintocavel

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
294
230
Naomba msaada kwa mtu yoyote anayetumia toyota Crown athlete ikoje kwa matumizi na upatikanaji wa spea zake, fuel consumption, engine je kuagiza kutoka japan au kununua hapa hapa bongo kipi bora?
 
Back
Top Bottom