Around 8M mpaka barabarani, kama una 8.5 nikuletee hii hapa
View attachment 115050
Sijui kwa nini unataka gx100, resale value yake iko chini sana kwa sasa, pamoja na kwamba unanunua ya kutumia lakini itafika muda utahitaji kuliuza itabidi uuze bei chini sana, mtaani znapatkana 7-5M hata 4M kulingana na hali ya gari. Mimi ningekushauri uchukue altezza, ina nguvu, imara na resale value yake iko juu, unaweza kuagza kwa around 9.5 kwenda juu kulingana na hali ya gari. Kama utahtaji sema tufanye mambo.