Nawasalimu. Kisha naomba mnisaidie kujua garama za kuimport used cresta gx100 hadi dar ni kias gan
Unauza shilingi ngapi mkuu?Mie ninayo, ukitaka sema
Mie ninayo, ukitaka sema
Nawasalimu. Kisha naomba mnisaidie kujua garama za kuimport used cresta gx100 hadi dar ni kias gan
Around 8M mpaka barabarani, kama una 8.5 nikuletee hii hapa
View attachment 115050
Sijui kwa nini unataka gx100, resale value yake iko chini sana kwa sasa, pamoja na kwamba unanunua ya kutumia lakini itafika muda utahitaji kuliuza itabidi uuze bei chini sana, mtaani znapatkana 7-5M hata 4M kulingana na hali ya gari. Mimi ningekushauri uchukue altezza, ina nguvu, imara na resale value yake iko juu, unaweza kuagza kwa around 9.5 kwenda juu kulingana na hali ya gari. Kama utahtaji sema tufanye mambo.
weka bei na picha niko intrestedMie ninayo, ukitaka sema
mkubwa hujajua bajeti yake kama imeishia hapo je? kipendacho roho
Mie ninayo, ukitaka sema
Nawasalimu. Kisha naomba mnisaidie kujua garama za kuimport used cresta gx100 hadi dar ni kias gan
Unauza shilingi ngapi mkuu?
Nina 5m, ninasikilizwa mkuu?8MIL Mkuu, coz nshaitumia. Ni exceed 2.5 vvti
Nina 5m, ninasikilizwa mkuu?