rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 147
Lady driven maanayake ndo ilikua inaendeshwa na mwanamke? Au gari inajiendesha ki-kike? Au ndo nini lady driven tusije tukaingia choo cha kike
Pili kama imesajiriwa nitajie number ya usajiri sio zote::: ni B?? T***
What about Transimission? Manual or Auto?
leta picha bwana gari haziuzwi hivi mtandaoniregistered,duty paid. White/5 doors/1,331 cc. Model ee111/engine 4e
no dent/ lady driven/in dsm only/ for further question please pm or call 0655.280264
bei kiasi gani mkuuu
Imetembea kilometre ngapi bongo?
Total Odometre inasomaje?
Ya mwaka gani?
Wewe ni mmiliki wa ngapi ukiweka na yule alie-import kwa mara ya kwanza?
Bati/body original au "Puti" imechukua nafasi kiasi,
AC inafanya kazi?
Imetembea kilometre ngapi bongo?
Total Odometre inasomaje?
Ya mwaka gani?
Wewe ni mmiliki wa ngapi ukiweka na yule alie-import kwa mara ya kwanza?
Bati/body original au "Puti" imechukua nafasi kiasi,
AC inafanya kazi?
1995 mkuu, hayo mengine mlete fundi,mimi siyajui yamekaa kitaalamu eg aliye import ndio nini?
mimi nauza gari langu si mtaaamu wa kuuza magari.Nisamehe.:biggrin:
registered,duty paid. White/5 doors/1,331 cc. Model ee111/engine 4e.
No dent/ lady driven/in dsm only/ for further question please pm or call 0655.280264
leta picha bwana gari haziuzwi hivi mtandaoni
Sasa mkuu Dar siyi Japan mpaka ushindwe kwenda kujionea ukweli wa hizo picha mkuu!!! Jamaa hana budi kuweka picha na ukiwa interested utakwenda kujionea gap baina ya picha na uhalisia. No gap you pay au unafungua fuba kapuuuu unaanza kutembea huku umekaaa tehe tehe tehe tehe.mpwa usiamini sana kwenye picha uliza walioagiza kwa wenyewe wakaletewa vituko sembuse huyu wa tegeta