Toyota corona for sale

Mkwai

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
306
Reaction score
96
Make: Toyota Corona (England)
Year: 1996
CC: 1800
KM: 160000
Air condition

Bei: Shilingi milioni 4 za kitanzania. (4,000,000/- Tshs)

Gari ipo katika hali nzuri, miaka yote ilikuwa inatumawa na Mama kwenda na kurudi kazini; ipo Dar es Salaam.
Kwa anaetaka kuiona, kuitest, au kufanya biashara; call - 0754615630. Anaiuza kwa sababu amenunua gari nyingine mpya.
 
Chukua mil 2.8

Kama uko Dar. tuwasiliane kwa namba tajwa hapo juu ili uikague gari na kuithaminisha. Inaweza kupungua kutoka kwenye M4 lakini sio kihivyo.
 
Kama uko Dar. tuwasiliane kwa namba tajwa hapo juu ili uikague gari na kuithaminisha. Inaweza kupungua kutoka kwenye M4 lakini sio kihivyo.
Ulaji wa mafuta ukoje?
 
Ulaji wa mafuta ukoje?

Ulaji wa mafuta sijauzingatia sana, maana matumizi yake ni hapa hapa town tu, haijasafiri kwenda mbali; na mara nyingi huwa anajaziliza kila yanapopungua. Ila kwa makadirio kutokana na cc zake nadhani ni kati ya kilomita 10 hadi 14 kwa lita.
 
Kwa bei hiyo na hali ya hiyo gari ningekuwa krb ningemnunulia mtu gari safi sana(kwa kuona tu) tena tyre za nyuma ni km new hivi!!

Changamkien wadau
 
chukua 2.0m mkuu,nimchukulie shemeji ako
 
2m hata TVS King (Bajaj) Used Hupati. Bora Muuzaje akate skrepa atapata zaidi ya hizo.
 
Chukua 3mil,
If yes basi kukikucha tuwasiliane
 
Chukua 3mil,
If yes basi kukikucha tuwasiliane

Call 0754615630 kwa mazungumzo. Huenda ukabahatika iwapo bibie atakuwa ameamka vema jumapili ya leo.
 
Call 0754615630 kwa mazungumzo. Huenda ukabahatika iwapo bibie atakuwa ameamka vema jumapili ya leo.

Mazungumzo ya nini tena mkuu??
Kama 3Mil inalipa sema niwahi Benki tufanye biashara!!
 
Poa mkuu,
Meanwhile haina ajali?? maana naona kama Rangi imepigwa juzijuzi

Usiwe na presha; utaikagua utakavyo kabla hujatoa pesa. kama si mjuzi wa magari andaa jopo la mafundi watakusaidia kuikagua.
 
Ulaji wa mafuta sijauzingatia sana, maana matumizi yake ni hapa hapa town tu, haijasafiri kwenda mbali; na mara nyingi huwa anajaziliza kila yanapopungua. Ila kwa makadirio kutokana na cc zake nadhani ni kati ya kilomita 10 hadi 14 kwa lita.

Ishawahi kupata ajali?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…