Toyota corona for sale

Mkwai

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
306
96
Make: Toyota Corona (England)
Year: 1996
CC: 1800
KM: 160000
Air condition

Bei: Shilingi milioni 4 za kitanzania. (4,000,000/- Tshs)

Gari ipo katika hali nzuri, miaka yote ilikuwa inatumawa na Mama kwenda na kurudi kazini; ipo Dar es Salaam.
Kwa anaetaka kuiona, kuitest, au kufanya biashara; call - 0754615630. Anaiuza kwa sababu amenunua gari nyingine mpya. 20130607_132658.jpg 20130607_132755.jpg 20130607_132814.jpg 20130607_132830.jpg 20130607_134521.jpg 20130607_134543.jpg
 
Ulaji wa mafuta ukoje?

Ulaji wa mafuta sijauzingatia sana, maana matumizi yake ni hapa hapa town tu, haijasafiri kwenda mbali; na mara nyingi huwa anajaziliza kila yanapopungua. Ila kwa makadirio kutokana na cc zake nadhani ni kati ya kilomita 10 hadi 14 kwa lita.
 
Kwa bei hiyo na hali ya hiyo gari ningekuwa krb ningemnunulia mtu gari safi sana(kwa kuona tu) tena tyre za nyuma ni km new hivi!!

Changamkien wadau
 
2m hata TVS King (Bajaj) Used Hupati. Bora Muuzaje akate skrepa atapata zaidi ya hizo.
 
Make: Toyota Corona (England)
Year: 1996
CC: 1800
KM: 160000
Air condition

Bei: Shilingi milioni 4 za kitanzania. (4,000,000/- Tshs)

Gari ipo katika hali nzuri, miaka yote ilikuwa inatumawa na Mama kwenda na kurudi kazini; ipo Dar es Salaam.
Kwa anaetaka kuiona, kuitest, au kufanya biashara; call - 0754615630. Anaiuza kwa sababu amenunua gari nyingine mpya.View attachment 96698View attachment 96699View attachment 96700View attachment 96701View attachment 96703View attachment 96704

Chukua 3mil,
If yes basi kukikucha tuwasiliane
 
Call 0754615630 kwa mazungumzo. Huenda ukabahatika iwapo bibie atakuwa ameamka vema jumapili ya leo.

Mazungumzo ya nini tena mkuu??
Kama 3Mil inalipa sema niwahi Benki tufanye biashara!!
 
Poa mkuu,
Meanwhile haina ajali?? maana naona kama Rangi imepigwa juzijuzi

Usiwe na presha; utaikagua utakavyo kabla hujatoa pesa. kama si mjuzi wa magari andaa jopo la mafundi watakusaidia kuikagua.
 
Ulaji wa mafuta sijauzingatia sana, maana matumizi yake ni hapa hapa town tu, haijasafiri kwenda mbali; na mara nyingi huwa anajaziliza kila yanapopungua. Ila kwa makadirio kutokana na cc zake nadhani ni kati ya kilomita 10 hadi 14 kwa lita.

Ishawahi kupata ajali?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom