Toyota Coaster bei poa

Toyota Coaster bei poa

Poxino

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
727
Reaction score
53
TOYOTA COASTER
IMELIPIWA VIBALI VYOTE

Bei: 42,500,000 (INAPUNGUA KIDOGO SANA)
Mwaka: 1998
Aina ya Mafuta: DIESEL
Umbali: km 133,041
Injini (cc): 4450 AINAYA INJINI 2H
FULL AC YAKUJAZA GES NA RADIO SAFI SANA
Linapatikana MBEZI BEACH (DAR ES SALAAM)
0712690760 AU 0755984282
EMAIL wazebanga@gmail.com
 
Attachments

  • IMG-20151102-WA0018.jpg
    IMG-20151102-WA0018.jpg
    105.4 KB · Views: 433
  • IMG-20151102-WA0019.jpg
    IMG-20151102-WA0019.jpg
    69.6 KB · Views: 354
  • IMG-20151102-WA0020.jpg
    IMG-20151102-WA0020.jpg
    68.7 KB · Views: 308
  • IMG-20151102-WA0022.jpg
    IMG-20151102-WA0022.jpg
    55.8 KB · Views: 307
  • IMG-20151102-WA0023.jpg
    IMG-20151102-WA0023.jpg
    30.4 KB · Views: 302
  • zyUpQT-1uzXD6PmCHhcOXJQ0ZTb3kQdm.jpg
    zyUpQT-1uzXD6PmCHhcOXJQ0ZTb3kQdm.jpg
    30.7 KB · Views: 294
  • SjypbPwmiMsQH5WlPk-nboTSE259XZGE.jpg
    SjypbPwmiMsQH5WlPk-nboTSE259XZGE.jpg
    35.3 KB · Views: 297
  • EWPlvXh34P64RKs1GfjX4phsYmqd14Vj.jpg
    EWPlvXh34P64RKs1GfjX4phsYmqd14Vj.jpg
    32 KB · Views: 306
Hizo km angalia tena.. naona hpo sio milioni.. ni 133,041
 
Haya wenye wazimu na magari kazi kwenu, mimi m42 kuwekeza kwenye hesabu ya laki 1 kwa siku naona kama kwangu haiwezekani, hiyo 42m nikiwekeza kuuza vocha tu za jumla jumla, kwa siku ninakuja mkwanja mrefu sana tena wa maana,
Ngoja kuna jamaa yangu alikuwa anatafuta gari kama hizo nimpe namba yako mkuu
 
Nimekosea mandishi mkuu ila picha ya dashboard inaonyesha km gari ilizo tembea
 
Hiyo ni ya mwaka 1988 na siyo 1998. Hebu jitaidi kuwa mkweli
 
Haya wenye wazimu na magari kazi kwenu, mimi m42 kuwekeza kwenye hesabu ya laki 1 kwa siku naona kama kwangu haiwezekani, hiyo 42m nikiwekeza kuuza vocha tu za jumla jumla, kwa siku ninakuja mkwanja mrefu sana tena wa maana,
Ngoja kuna jamaa yangu alikuwa anatafuta gari kama hizo nimpe namba yako mkuu

Tena hapo haijapata ajali au janga lolote
 
Hiyo ni ya mwaka 1988 na siyo 1998. Hebu jitaidi kuwa mkweli

Huwa wanafoji miaka ili pale SUMATRA wasiadhibiwe (inatakiwa gari isizidi miaka saba tangu itengenezwe, ndipo isajiliwe kubeba abiria). Toyota waliacha kutengeneza model hiyo mwaka 1990. Baada ya hapo wanatoa model mpya ya coaster, kama zile za Taifa Stars.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom