Toyota chaser inauzwa.

Andrew Kellei

JF-Expert Member
Sep 11, 2009
348
123
Wadau chaser inauzwa.model ni gx 90,ni ya mwaka 1993 auto ipo katika hali nzuri,inatembea,sio mbovu,full ac,mp3 Jvc,
full tinted and sports rims.Engine capacity 1989.
Insurance inamaliza muda wake mwezi wa sita mwaka huu na Road licence (Licence disk)inamaliza muda wake Desemba 2012.
Bei 4m.
Ukiwa interested wasiliana kwa namba 0784839856/0714839856.
Offer hii itafikia mwisho siku ya Jumapili tarehe 4-3-2012.

CHASER 021.jpg CHASER 023.jpg CHASER 025.jpg CHASER 029.jpg
 
Kwanini unauza?na inaonekana inakunywa mafuta sana.

Nauza kwasababu nimenunua gari nyingine.Kwa utumiaji mafuta wala halitishi,linatumia lita moja kwa 7 km kwa hapa dar kwenye foleni,ila safari ndefu huwa linaenda mpaka 11km kwa lita.Kama mafuta ya mawazo halikufai kaka.Ila Dar-Ar naenda kwa 7 hours tu.
 
inanguvu sana, ila usiwe na mafuta ya mawazo

Kweli mkuu kwenye hilo halina ubishi.Huwa yanachanganya haraka sana hasa ukibonyeza zile button za power na overdrive unapiga overtake kwenye mlima mkali kama kitonga na speed zaidi ya 120km/hr.
 
kwa mnaojua,hilo gari linafaaa kwa kufanya biashara ya taxi???au ndio hasara kwa sababu ya mafuta???nielekezeni....nataka kununua ila punguza bei nina million tatu...lol
 
kwa mnaojua,hilo gari linafaaa kwa kufanya biashara ya taxi???au ndio hasara kwa sababu ya mafuta???nielekezeni....nataka kununua ila punguza bei nina million tatu...lol

Dada Neema,hilo gari kwa Taxi halifai hasa hapa Dar sababu ya foleni.Hilo ni gari la masafa marefu ila linafaa sana mikoani.
Kuhusu kupunguza bei nimeshapunguza kutoka mil 4.5 mpaka hapo ndo bei elekezi na kikomo.
 
Kweli mkuu kwenye hilo halina ubishi.Huwa yanachanganya haraka sana hasa ukibonyeza zile button za power na overdrive unapiga overtake kwenye mlima mkali kama kitonga na speed zaidi ya 120km/hr.

Haya unayosema ni kweli mkuu au ndo kuvutia biashara?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom