Toyota Carmy Altise-Ushauri

Toyota Carmy Altise-Ushauri

Jerrymsigwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
14,084
Reaction score
8,406
Naomba kama kuna mtu anafaham performance ya gari hii hapa chini au Toyota Aurion aweze kunijuza, thanks in advance!!

TOYOTA CARMY.jpg
 
Uki google utapata data zote unazohitaji mkuu. Kuanzia performance mpaka engine size na makila kitu.
Mtumie google. Hana gharama. Mshikaji poa sana
 
Google ina apply nchi za wenzetu, sisi tuna standard zetu ndio mana tunapitisha magari kwenye brbr za vumbi wkt ni za kwenye lami.

Toa ushauri mdg wako nichukue mkoko huo
 
Google nimekuta ni vvti,2.4litre, 7.8l/100km, na ni gari nzuri sana kwa kwl hata kabei kake kamesimama. Lkn je kwa road zetu itaweza
 
Google ina apply nchi za wenzetu, sisi tuna standard zetu ndio mana tunapitisha magari kwenye brbr za vumbi wkt ni za kwenye lami.

Toa ushauri mdg wako nichukue mkoko huo

Chukua tu acha uoga. Huyo ni kama mke. Unamuendesha kidogo kidogo hamna haja ya papara. Popote unapita kaka mwendo wa kinyonga tu. Wese lako tu hapo ndo litalohusika zaidi.
Kazi ni kwako
 
Huu ni ushauri wa hekimatele asante sana bana hii mashine nimefuatilia ina system ya umeme kuendesha engine. Hata hivyo mkuu HT asante kwa changamoto na ushauri
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom