Mafuta vipi cc ngapi?
Nikupe 6m mkuu
Nahisi amekosea mkuu, maana toleo la mwisho ni 2002 sijaona zaidi ya hapoWe jamaa hivi Kuna Carina ya mwaka 2003 kweli?? Au new model??
OLESAIDIMU tafadhali msaada.We jamaa hivi Kuna Carina ya mwaka 2003 kweli?? Au new model??
Mmmh, manual.............??!!
vipi mkuu BIGMONEY ile LDV BUS bado ipo ama ulishauza?kama ipo naomba tuwasiliane mkuu