onyesha sehemu iliyogongwa,umbali.pia 9.5m ni kubwa sana kw Carina hiyo,fanya 6.5m
Kaka kwa bei tajwa it's better kuagiza moja kwa moja anyway price yako ya mwisho ni ngapi?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kaka nane na nusu mwisho! The car is just as new with alloy reams 15" new tires na music system nzuri! Na its very clean inside hadi kwenye engine!
Naona mwalimu umekopa unataka kukaa kwa lami nawe
Kaka nane na nusu mwisho! The car is just as new with alloy reams 15" new tires na music system nzuri! Na its very clean inside hadi kwenye engine!
Acha kujifanya unajua wakati huna unachokijua carina ya mil 6.5 ikiwa katika hali kama hiyo inayouzwa unaipata wap??onyesha sehemu iliyogongwa,umbali.pia 9.5m ni kubwa sana kw Carina hiyo,fanya 6.5m