Toyota carina for sale

Toyota carina for sale

Hata mawaziri wanakopa sembuse walimu, koma kuwadharau au kuona walimu ndio wa kila mfano mbaya.

Nimekuwa na kupata malezi kwa shangazi yangu mwalimu. nachukia dhihaka kama zako lusungo unapowafanya walimu ni mfamo kwa kila baya!
hawapendi waiishi wanavyoishi ila ni kwa kuwa serikali haitambui michango yao na pia kwa sababu wanataka Taifa lijae walemavu wa fikra ili utawala wao uridhoshwe kwa bizazi vyao!

Mkuu Twilumba una lako jambo.
Mwalimu kukopa ni jambo baya? Hapa nimetolea mfano ubaya upi?

Wapi nimedharau au kudhihaki walimu?

Usinijaze maneno mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu inaonekana ni jinsi gani akili yako imejaa matusi na chuki...

Mbona nimeongea kitu cha kawaida wanitusi?

Mambo ya siasa yaache siasani

Msamehe bure sio kosa lake ni stress tu za maisha ndio zinamchanganya..
 
Acha kujifanya unajua wakati huna unachokijua carina ya mil 6.5 ikiwa katika hali kama hiyo inayouzwa unaipata wap??

wewe ndo muuzaji?hii ni business Kamanda, mbona unakuwa na kiherehere, mwenyewe kasema huko haiwezekani na nimemuelewa. Sasa cha ajabu ni nini hapo, mbona watu tumeuziwa Carina 1700+cc mpaka 4M na wenye shida zao. Muachie muuzaji, piga kimya
 
Utakuwa na wadudu matak*o*n*i wanakusumbua, sio bure...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom