Toyota Avensis inauzwa Haraka

Toyota Avensis inauzwa Haraka

Imenishinda kudownlod wakubwa ila kwa whatapp nitakurushia faster
 
Kweli biashara ina watu wake naona na sio kila mtu anaweza kuifanya,tuangalie mfano wa wahindi, huyu dada anatangaza biashara alafu anataka tumfate whatsapp nani atakufata huko??me mwenyewe nimependa hizo t shirt na nina whatsapp ila siwezi kukufata nianze kukuuliza.

Wewe kazi yako ni biashara na biashara always ni matangazo chukua muda wako hata one hour or 2 hours weka t shirt na bei zake t shirt zote weka kwenye list weka na amount ni kiasi gani simplee. Bei yenyewe mtu unaulizwa unaona tabu kujibu.

Angalia mfano wa wahindi biashara wanazofanya zipo public na kila mtu anaziona na wanatangaza na bei kabisaaaaa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ingekuwa na Engine 1AZFSE tungeweza kuzungumza Engine 7A ni majanga kwanza haina nguvu pili ikianza kusumbua kila siku utashinda garage.
 
wewe nawe unauza gari umeweka namba ninapiga hupokei..au gari la wizi hili? aagh
 
Ngongo kama gari imekushinda ni heri ukawa mpole mkuu maana Engine isi kula mafuta na spea zake rahisi na zimejaaa Dar hii ni 7A...
Na lini wabongo mtaacha kukosoa kazi za watu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom