Toyota altezza inauzwa

Potezea mkuu na maisha yaendelee, this is new year, naamini wewe na mwana munaweza mukaja kuwa marafiki wa kubwa sna kupitia hii challenge.
Nampotezea tu ila urafiki sidhani, mm sinaga unafki ana kauli chafu sn huyu jamaa mm nimepost tangazo langu nashangaa anaanza kunitukana bila sababu nikajua anafanya hivyo sababu humu tunatumia fake id nikamuonyesha kuwa licha ya fake id bado ninauwezo wa kumjua ndomana nikatuma hadi picha zake
Ila mm haniumizi kichwa nampotezea tu
 
Kuna jamaa yangu alitaka apost gari yake humu anaiuza nikamshauri aache maana humu kuna madogo hawana adabu watamuharibia biashara bure,watu wanataka likes tu,wapuuzi sana..na wengi wanaokejeli sio wanunuzi,kwahyo mkuu relax wenye nia watakucheki
 
Washanichek na tushafanya biashara, kilichobaki ni porojo na matusi ya nicolas T mwenyewe anajiita spark [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahaaaaa kumbe waoga ee, mnapoongea humu kwa kujimwambafai huwa mnafikiri nini?tena maneno ya shombo na matusi mazito tena kwa kujiamini kabisa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] asipate uoga atulie dawa imuingie ukiwapiga spana kdg waoga hao, dogo kaogopa akashauriwa akaripoti polisi, asipate tabu aseme kituo gani nimkute hapo tusimezane vzr
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] asipate uoga atulie dawa imuingie ukiwapiga spana kdg waoga hao, dogo kaogopa akashauriwa akaripoti polisi, asipate tabu aseme kituo gani nimkute hapo tusimezane vzr
Naitizama sura ya huyu kijana kwakweli bado kinda msamehe aisee ni utoto tu tatizo lake kubwa naona kakaaaa katafakari sijui akapata kina wamemshauri akane picha na namba zake

hahahaaa kaja hapa mbio kutuaminisha sio yeye kumbe watu wamesha quote alipo kiri namba zake na picha yake naona karudi tena uvunguni sijui atakujaje tena ngoja tumsubirie.

Yaan hii kwangu naona kama comed inanifurahisha kwakweli naendelea kufuatilia kisa hiki kwa ukaribu kabisa na umakini mkubwa
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… dalali jugo Asee huyu dogo sijui alikula maharage ya wapi aseee maana ana tumbo la kuhara kila saa.
achana naye fanya kazi mkuu, iyo chuma iko mwake sana mkuu, utapata mteja sio muda hapo kitaa. Kitu bado piruuu.
 
Nishaachana nae muda sn hapa ni kama tunaongea ongea tu, akirudi tena nitampiga tofali moja matata sn hatoingia jf hata mwezi mzima akirudi aje vzr
 
Nishaachana nae muda sn hapa ni kama tunaongea ongea tu, akirudi tena nitampiga tofali moja matata sn hatoingia jf hata mwezi mzima akirudi aje vzr
Fanya kazi mkuu maana mungu wetu halali wala haendi likizo.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…