Toyota altezza inauzwa

Mkuu asante kwa kunifumbua macho..kutishiwa maisha sio kitu cha mchezo! Kuna habari ya muuza chips nimeisikia kwenye vyombo vya habar..ngoja nichukue hatua!
Nimeiona hiyo habari,jamaa amekutwa kaning'nia kwenye eneo lake la chips Kijitonyama.Mambo ya kutishiana maisha siyo mazuri aise.uchukue na mawasiliano yake.
 
Msipende kutishana siyo jambo zuri,Au nasema uongo ndugu zangu!
Ni kweli kaka upo sahihi, ila alikera sn alivyonambia atanitatua marinda kiukweli hii kauli ilinikera sn ndio nikataka nimjue huyu ni nani ananitukana tusi kubwa kama hili kumchek ni dogo tu ila hana adabu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Pole Sana chief,usijali Sana wengine wanatumia maneno tu bila kuyatafakari.Msamehe tu yaishe maana dunia ya Leo iko complex Sana.Forgive and forget brother .
 
Ningekutatua kweli,mshukuru Mungu wako ushatatuliwa! Kama hawakukutatua vzur jibu tena! Gasho wee!!!
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nicolas unanichekesha sn, ww ni muoga sn nadhani sasa umelewa ila ngoja pombe zikuishe ndio utajua hujui

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…