Toyota Altezza Gita (Wagon) Thread: Karibuni tujuzane ubora na udhaifu wa gari hizi

Nafikiri ni kwenda na kurudi. Maana nategemea XT isishuke 6kpl, standard itakuwa hiyo 8.1kpl, japo kiuhalisia, ni mwendo wa 7 to 7.5kpl.
Ungepanda mpaka ya mwaka 2011 ndio iko poa zaidi. Japo bei zake ni juu kidogo.
 
Mkuu chamazi hadi huko tegeta ni mbali kwenda tu sio chini ya 45km kwaio kwenda na kurudi ni 90Km average kama hio 30,000 ni kwenda na kurudi hio gari inakula average ya 7.5-8.1km/l kama anaendesha vizuri sio yule anakanyaga rev mpaka kwenye 4 na mbio mbio ila kama ni kwenda tu katumia 30,000 basi gari inakula mafuta sana maana ni kama 3-4km/l na possibly alikua anakimbia maana 30,000 wese unapata 12.70 litres kwa bei ya mwezi uliopita kama ni kwenda na kurudi naweza imudu hio forester..hio ya 2009 nimeona ushuru ni 7.6m na CIF yake inacheza $3400-3800 ndo bajeti yangu hio sitaki ifike $4000 na kuendelea cheki google map uone distance
 
Attachments

  • Screenshot_20190812-161348_Maps.jpg
    84.3 KB · Views: 23
  • Screenshot_20190812-161303_Maps.jpg
    84.9 KB · Views: 23
Kwenda na kurudi
 
Nafikiri ni kwenda na kurudi. Maana nategemea XT isishuke 6kpl, standard itakuwa hiyo 8.1kpl, japo kiuhalisia, ni mwendo wa 7 to 7.5kpl.
Ungepanda mpaka ya mwaka 2011 ndio iko poa zaidi. Japo bei zake ni juu kidogo.
Sikuzote mafuta yanaenda Sana kama utakanya accelerator bila mpangilio au ukifanya mashindano ya MBIO barabaran na pia nakumbuka ilikuwa jpili na foleni haikuwa kubwa
 
Itafaa nipeleke langu lenye 1jz-gte maana nilitamani kulibadilishia machine niweke ya 1g Ila cha kushangaa pale shaurimoyo waliomba 2.2 mil
 
Kwenda na kurudi
Anhaa kwenda na kurudi wese 30,000 hapo naona ipo sawa...hio uliokua nayo wewe ni zile SH5? Zilizoanza kutengenezwa 2008? Mimi Naitaka kama hii halafu niinyanyue kama hivi mkuu
 
Attachments

  • Screenshot_20190812-183358_Gallery.jpg
    154.9 KB · Views: 23
  • Screenshot_20190812-183404_Gallery.jpg
    139.5 KB · Views: 25
30000 kwenda tu?
 
Anhaa kwenda na kurudi wese 30,000 hapo naona ipo sawa...hio uliokua nayo wewe ni zile SH5? Zilizoanza kutengenezwa 2008? Mimi Naitaka kama hii halafu niinyanyue kama hivi mkuu
Mimi nazikubali forester za 2008 kushuka chini maana hata hizi toleo unazohitaji zina engine kama zile za zamani..
Engine zake ni EJ 20
Turbocharger ni 2.t
Hizo gari Mkuu nimetokea kuzipenda Sana sikuhizi spare parts zake zipo madukani na hata mafundi wapo pia
 
Zile za 2008 kushuka chini SG5 au SG9 zipo fresh mimi nazikubali sana za kuanzia 2005-2008 zile facelifted sema ya 2007 ushuru ni 8,300,000 bado TPA na zingine CIF zinacheza $2900-3400 sasa naona shida kuchukua model ya muda kidogo maana nahisi nitakaa nayo sana i.e. miaka 4-6 ila yote tisa ugonjwa wangu napenda niwe naona fuel consumption kwente screen zile za 2008 kushuka chini hazioneshi i.e ukiweka wese la i.e. 50,000 labda utatembea km ngapi nataka assuarance hio sio ile nabahatisha pia zipo chini sana zile za 2008 kushuka chini
 
Okay, in that case, hiyo haiwezi kukushinda. Hiyo consumption sio mbaya. Hata bei pia naona iko poa.
 
Anhaa kwenda na kurudi wese 30,000 hapo naona ipo sawa...hio uliokua nayo wewe ni zile SH5? Zilizoanza kutengenezwa 2008? Mimi Naitaka kama hii halafu niinyanyue kama hivi mkuu
Hehehee, una mpango wa kulipeleka mbugani eeh? Maana linafika vizuri kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…