Toyota Altezza 8 million haipungui

Toyota Altezza 8 million haipungui

Don Calvino

Senior Member
Joined
Mar 3, 2012
Posts
113
Reaction score
29
Toyota Altezza (Lexus) 1999 model. Bei 10 million mazungumzo yapo kidogo. Inatembea ipo Dar, silver color, tairi mpya Bridgestone, mziki mkubwa. Piga 0765448488 maelezo zaidi.
 
Kwanini unaiuza? Inasumbua au umefulia!
 
speed ngapi mwisho maana mie napenda flying dolls!!
 
sorry hiyo ya 8 million imeshauzwa, imebaki hiyo ya 10 million.
 
Toyota Altezza (Lexus) 1999 model. Bei 8 million haina mazungumzo. Inatembea ipo Dar, tairi mpya Bridgestone. Piga 0765448488 maelezo zaidi.

Fill the blanks below;

Odometer inasoma ngapi hadi sasa......
accident history....
rangi......
sababu ya kuuza......
imekuwa imported Tanzania mwaka gani .....
Reg. namba......
Tatizo lolote la gari Kama lipo..........


Finally attach photo to support your advert

Kila la heri
 
Back
Top Bottom