kuchangumu
JF-Expert Member
- Apr 2, 2014
- 724
- 290
cc? psgr wangapi? ipo wapi? we dalali au mmiliki?
Ni auto au manual?
hivi million 30 siku hizi mnaidharau namna hii?
Petrol au diesel?
Sent from my iPhone using JamiiForums app
hivi million 30 siku hizi mnaidharau namna hii?
30M upo nje wa uwezo wa wengi.
Vijisenti hivyo mkuu. kwa wabana matumizi kama mimi, hapo nakamata Rav4 yangu ya kumyang'anya mtu, namwagizia mama Vitz na watoto Raum ya kuwapeleka shule.
hivi million 30 siku hizi mnaidharau namna hii?
kwa mimi mchaga naingeza duka,natafuta fremu kko naweka mali ya mchina,ngoja waje wenye hela za ESCOW NA EPA