Jeremy Bentham
Senior Member
- Apr 22, 2019
- 118
- 133
Jamani natafuta TOYOTA ALLION number D amabayo ipo kwenye hali nzuri nahitaji nimechoka kutembea kwa mguu nami nisukume ndinga mjini sasa
Naukshauri ungeenda kupatana uka search au kwenye ma group ya whatsap ya madalali ya wauza magar au kwenye page insta za magari, Lakini kuwa makini sana ata fundi atayekukagulia gari kuwa nae makini pia
Bajeti yako ni sh ngapi?Jamani natafuta TOYOTA ALLION number D amabayo ipo kwenye hali nzuri nahitaji nimechoka kutembea kwa mguu nami nisukume ndinga mjini sasa
Bajeti yako ni sh ngapi?
Yaani post Kama hizi zinanifanyaga Jf iniache na maswali mengi sana.
Sababu ni kwamba utaona madalali wa bidhaa mbalimbali ikiwemo magari wanaanzisha posts mbalimbali za kutangaza bidhaa zao Kama magari na viwanja halaf hawapati mnunuzi.
Halaf utaona baada ya siku chache utaona mtu mwingine anaanzisha uzi wake wa kutafuta kiwanja au gari ya kununua.
Swali ninalojiuliza ni kwamba je hizi posts zina ukweli au huwa zinatolewa kwa lengo la utani tu na mizaha au ni kwa lengo la watu kujikweza tu ili mradi kila mtu aonekane matawi ya juu.
Inaelekea hujaelewa kabisa nilichoandika ndio maana umekurupuka kutukana.kujikweza vp kwani we unanijua mimi hadi nijikweze unijue wakati ID yenyewe fake au umelenga nini kusema hivo nyumbu mmoja wewe[emoji35]
Inaelekea hujaelewa kabisa nilichoandika ndio maana umekurupuka kutukana.
Mimi sijakusema wewe moja kwa moja isipokuwa nimeongea kwa ujumla Sasa sioni sababu ya wewe kupanic na kuanza kunitusi.
Sasa nimegundua kitu kimoja kutoka kwako,either niliyoongea yamekugusa au ni tapeli ndio maana umekasirika.
Mtu mwenye hadhi ya kushika milioni nane huwa Hana sifa ya kuwa mshenzi mshenzi Kama wewe.