Toyota Allex

Toyota Allex

Aika Mndumii

Senior Member
Joined
Jan 19, 2013
Posts
164
Reaction score
47
Wakubwa kuna ndugu yangu anatafuta Toyota Allex ya kuanzia 2001 model. Kama unayo naomba taaifa na bei yake.

Asante
 
Nenda kituo cha mafuta cha Engen Mbezi beach nimeiona kuna moja inauzwa
 
Hiyo ni sawa na kuuziwa mbuzi kwenye gunia! Ikizama au ikafika bandarini ikayeyuka je?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom