Toyota allex vs runx

PintoG

JF-Expert Member
Jun 12, 2017
612
731
Wadau ningependa kujua mwenye uzoefu wa kweli na utalamu, kati ya toyota allex na runx ipi inafaa kuliko nyingine kwa matumizi ya kawaida tu,mishe za mjini.
 
cc1490 ulaji mafuta ni 12-14km/lt inafaa sana kwa mijini kwenye foleni kubwa hazifai kwa safari ndefu ukipishana na bus ama lori liko kasi lazima uhame barabara usimame uanze upya
 
cc1490 ulaji mafuta ni 12-14km/lt inafaa sana kwa mijini kwenye foleni kubwa hazifai kwa safari ndefu ukipishana na bus ama lori liko kasi lazima uhame barabara usimame uanze upya
Uongo, mi nimesafiri na Allex kutoka Dar to Bk bila tabu
 
Kwangu mimi naona ni kama daihatsu boon na toyota passo...same car different name....au toyota yaris and vits or clavia
 
Haya majina huwa wanabadili kutokana na Soko. Waweza kuta gari hiyohiyo kwa Soko la japan ikauzwa kwa jina X alafu soko la Asia ikauzwa kwa jina Y na Marekani ikaitwa Z nk nk.

Hio inatokea kwa gari nyingi tu, sasa katika kubadili majina sio lazima zifanane kila kitu, zinaweza fanana muonekano lakini zisifanane specification au zikatofautiana tu wheel base au bamper, au moja ikanyanyuliwa kidogo au ikawa modified ndani kupata space nk nk yapo mengi sana mengine ni ya kuangalia kwa jicho lanl kitaalam

Sasa Allex na RunX kuna kihistoria chake mpk zikabadilishana majina ila zikiwa zinafanana kama alivosema mdau hapo moja ni kwa soko la japane nyingine nje ya japane lakin katika kuzifuatilia sana utagundua kiufundi Allex iliboreshwa kidogo ili kuongezwa confortability kwa watu wazima Alafu RunX ikaachwa ina sound sana kwaajili ya vijana hata kukimbia kiufundi RunX inamzunguko mkubwa kuliko Allex kwa maelezo zaidi pitia Wikipedia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom