Town planners

Oct 12, 2010
70
7
EBWANA IM A JOB SEEKER I studded four years Bsc degree in Housing and Infrastructure Planning and Management in the school of Urban and Regional Planning at Ardhi University , I have a full understanding of the neighborhood planning, site planning, regularization as well as the full life cycle of software’s such as Auto CAD, MapInfo in architectural drawings and how to use GPS in locating/findings coordinates’ also have ability in learning and excelling at new technologies as needed. so for any one who can provide a job to me please use the below adress;

Contact; +255 717 038 035, Email-ronaldurassa@gmail.com:frusty:
 
Urasa,
mimi ni mmojawapo niliesoma kozi hiyo pale ardhi enzi hizo pakiitwa uclas, hiyo kozi huwezi kupata kazi nje ya halmashauri au wizara ya ardhi. hivyo wakati unasubiri matangazo ya huko kama yakitokea, tafuta kozi nyingine ambazo kazi zake zimejaa uzisome kama IT, Accounts nk, soma hata certificate au diploma, mimi nilisota miaka 2, nikaamua kuanza kusoma upya fani nyingine kabisa ndiyo iliyokuja kunipa kazi
 
Kaka, kwa nini usiwaze kujiajiri kwa kuwapimia watu viwanja? au kuwasaidia kupima viwanja vyao, watu wengi tumejenga maeneo hayajapimwa na surveyers waliopo wenye majina wanabei za juu sana.
 
jiajiri, wewe unashahada unakaa njaa, kazi zako wanafanya madalali. saidia watu wanaonunua maeneo kuangalia matumizi ya ardhi ya maeneo husika kwa kwenda na GPS na kuplot, pia saidia kutengeneza extracts au kushauri kitaalam nini cha kufanya. ukitegemea kazi za kuajiriwa kama unavyojitangaza huku utaishia kufa maskini:A S shade:
 
Urasa,
mimi ni mmojawapo niliesoma kozi hiyo pale ardhi enzi hizo pakiitwa uclas, hiyo kozi huwezi kupata kazi nje ya halmashauri au wizara ya ardhi. hivyo wakati unasubiri matangazo ya huko kama yakitokea, tafuta kozi nyingine ambazo kazi zake zimejaa uzisome kama IT, Accounts nk, soma hata certificate au diploma, mimi nilisota miaka 2, nikaamua kuanza kusoma upya fani nyingine kabisa ndiyo iliyokuja kunipa kazi

wewe kilaza,
wakuu wa Mradi wa mabasi yaendayo kasi ni Town planners & Engineers. NGOs kibao zinaajiri. wewe kacertificate kako utakalinganisha na Degree? huna wazo la kuanzisha kampuni? ....... ukikutana na aliyesoma Ardhi University maskini ujue ana akili kama zako:rockon:
 
Kaka, kwa nini usiwaze kujiajiri kwa kuwapimia watu viwanja? au kuwasaidia kupima viwanja vyao, watu wengi tumejenga maeneo hayajapimwa na surveyers waliopo wenye majina wanabei za juu sana.

Mkuu hii kozi ni ya mipango miji sio upimaji. Naona hujui unachokichangia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom