Sipendi na nachukizwa nalo ndo maana nimelibwaga hapa. Naelewa jinsia yetu ya kike ilivyo. Dealing na jinsia ya kiume na kuwasema kuwa wanachokifanya sicho na wakiacha na kukataaYes, nakubaliana na wewe...!
Ila ipo haja ya wewe ku feel sorry na hao ladies wenye pesa zao.
Hujisikiii vibaya kuona wakina mama au dada ka hao wakiwatumia vijana? Hebu fikiri kama anayetumia hivyo ni kajana wako wa karibu...
Kwani liwalo na liwe kwa kazi hiyo? Bora kuwa messenger wa kutumwa kununulia lunch wafanyakazi wa maofisini wasiotaka kula nje kisha unapata nauli na posho kidogo kuliko kujishushia hadhi hivyo.hakika mkuu, maana hao ndo source, ukicheki yuko majalala mtaani anaona liwalo na liwe tu
Hahahaa so na wewe huwa unatumwa na Boss Lady looh polee.Sikuwahi kufikiria kama kuna wanawake machizi kama hao...Btw kama mwanamke nimempenda na nimeshatengeneza mazingira vizuri still naweza kumpata hata huyo boss lady akipiga mkwara
Nafikiri mtoa mada utakuwa hujaelewa bado dhumuni la huyo boss lady au umehadithiwa, yani ahangaike vyote kwa ajili ya kumuona chiku tu akiwa kwenye date kisha kumfukuza jamaa after?.. Na chiku aondoke hivihivi, kuna vya bure kweli siku hizi!? Tafadhali kafanye tena research alafu urejee upya.!Hayaa kumekucha. .....
Wacha niende straight......
Wananishangaza wanaume bin wavulana wanaotumiwa na Town Boss Ladies kisa pesa khaaaa aibu yenu kwakweli.
Hivi mwanaume mzima na mandeke yako na mazivu yako unatumwa na Town Boss Lady kumfatilia mdada flani kisha have a date with her halafu na Boss Lady nae anaenda eneo husika kuangalia movement kisha baada ya hiyo date hata kama ulijikuta umefall kwa huyo mdada utatimuliwa na kuambiwa kazi yako imeisha sepaa .... Chapa lapaa.... move your ass and never turn back.....
Hivi kwelii mbona wanaume mnajishusha hadi hivyoo
NOTE: si wanaume wote najua umejiandaa kujibu vibaya. Kama wewe mwanaume ulitumiwa hivo na Boss Lady on 2015 pole na shame on you. 2016 jipange bora upige hata zege kuliko kutumwa hivyo. Ila kama wewe huku fanya hivo then comment..AM A REAL MAN NOT WORKING FOR BOSS
LADIES.
Kasie.
Ama nenee......!Sikuwahi kufikiria kama kuna wanawake machizi kama hao...Btw kama mwanamke nimempenda na nimeshatengeneza mazingira vizuri still naweza kumpata hata huyo boss lady akipiga mkwara
Marahabaa.. nimetembea ila hako kamtindo kana tisha sana !! (what is behind....??)inabaki ??Tembea uone..... ipo sana hiyo
Nafikiri mtoa mada utakuwa hujaelewa bado dhumuni la huyo boss lady au umehadithiwa, yani ahangaike vyote kwa ajili ya kumuona chiku tu akiwa kwenye date kisha kumfukuza jamaa after?.. Na chiku aondoke hivihivi, kuna vya bure kweli siku hizi!? Tafadhali kafanye tena research alafu urejee upya.!
Acha porojo za kike, yani boss lady anazisikia habari za chiku afu amtafute mtu mwingine???!! Kwani huyo aliempa taarifa za chiku hawezi kupata taarifa zingine?! Nafikiri perio.. yako inakaribia.Sema hujaelewa mada tajwa.....
Na ujue haupo kwenye hiyo zone.....
Summary: Boss Lady anakuwa anasikia habari za Chiku sasa jinsi ya kuzipata na kumuona live Chiku hana na hautaki kuwa low kum face Chiku..... ushanfahamu.
Hapo ndo anaamua kumtumia mwanaume bwege. .... mi namuita bwege kwasababu najua mwanaume na mandeke yake hatumwi kingese ngese hivo.
Ndo hapo mwanaume bwege akishafanya date in open or public restaurant after lunch au dinner Boss Lady nae anakuwa ashamuona Chiku na kupata details za Chiku from huyo bweegeey like jina.. anaishi wapi life ...style... anafanya kazi wapi..... and the like. Then bweegeey analipwa halafu Chiku anaachwa kwenye mataa yaani mawasiliano ya Chiku na yule mwanaume bweegeey yanakatika bila Chiku kuelewa kulikoni.....
Upooo . .....!!! Kasome tena.
Kuna harufu ya "threesome" hapo, siyo bure!Marahabaa.. nimetembea ila hako kamtindo kana tisha sana !! (what is behind....??)inabaki ??
Kwa hiyo lengo ni kumwona tu jamaa akicheka na msichana!!?? Hilo tu?? Mbona bado sijaelewa!!Hujaelewa we Pita kuchoka choka. Nilimaanisha mwanaume anatumwa mfatilie Chiku mtongoze kisha akikubali uende nae out for dinner au lunch na hapo unakuwa unamtaarifu Boss wako Town Boss Lady kuwa venue ni Kempisk hapo Boss Lady nae ataenda hapo kisha anakuwa pembeni kuangalia mnavoongea mnavocheka na mkishaondoka hapo basi anamwambia jamaa kazi yako imeisha hapo hakuna tena kuwasiliana na Chiku. Boss Lady lengo lake linakuwa ni kumuona Chiku tuu baasi. No usagaji hapo.
Hata mimi sijamwelewa!!! Cc KasindeAisee kwahio boss lady hawezi kumuona chiku mpaka amtume mwanaume amtongoze??!! duniani kuna mambo.
Sasa na mimi nimekuelewa, .... Kasinde na wewe yamekukuta???Sema hujaelewa mada tajwa.....
Na ujue haupo kwenye hiyo zone.....
Summary: Boss Lady anakuwa anasikia habari za Chiku sasa jinsi ya kuzipata na kumuona live Chiku hana na hautaki kuwa low kum face Chiku..... ushanfahamu.
Hapo ndo anaamua kumtumia mwanaume bwege. .... mi namuita bwege kwasababu najua mwanaume na mandeke yake hatumwi kingese ngese hivo.
Ndo hapo mwanaume bwege akishafanya date in open or public restaurant after lunch au dinner Boss Lady nae anakuwa ashamuona Chiku na kupata details za Chiku from huyo bweegeey like jina.. anaishi wapi life ...style... anafanya kazi wapi..... and the like. Then bweegeey analipwa halafu Chiku anaachwa kwenye mataa yaani mawasiliano ya Chiku na yule mwanaume bweegeey yanakatika bila Chiku kuelewa kulikoni.....
Upooo . .....!!! Kasome tena.
Hujaelewa we Pita kuchoka choka. Nilimaanisha mwanaume anatumwa mfatilie Chiku mtongoze kisha akikubali uende nae out for dinner au lunch na hapo unakuwa unamtaarifu Boss wako Town Boss Lady kuwa venue ni Kempisk hapo Boss Lady nae ataenda hapo kisha anakuwa pembeni kuangalia mnavoongea mnavocheka na mkishaondoka hapo basi anamwambia jamaa kazi yako imeisha hapo hakuna tena kuwasiliana na Chiku. Boss Lady lengo lake linakuwa ni kumuona Chiku tuu baasi. No usagaji hapo.