una maana wakasagane au mimi ndo kichwa maji sijaelewaHayaa kumekucha. .....
Wacha niende straight......
Wananishangaza wanaume bin wavulana wanaotumia na Town Boss Ladies kisa pesa khaaaa aibu yenu kwakweli.
Hivi mwanaume mzima na mandeke yako na mazivu yako unatumwa na Town Boss Lady kumfatilia mdada flani have a date with her halafu na Boss Lady nae anaenda eneo husika kuangalia movement kisha baada ya hiyo date hata kama ulijikuta umefall kwa huyo mdada utatimuliwa na kuambiwa kazi yako imeisha sepaa .... Chapa lapaa.... move your ass and never turn back.....
Hivi kwelii mbona wanaume mnajishusha hadi hivyoo
NOTE: si wanaume wote najua umejiandaa kujibu vibaya. Kama wewe mwanaume ulitumiwa hivo na Boss Lady on 2015 pole na shame on you. 2016 jipange bora upige hata zege kuliko kutumwa hivyo. Ila kama wewe huku fanya hivo then comment..AM A REAL MAN NOT WORKING FOR BOSS
LADIES.
Kasie.
Lengo la 'boss lady' kumtuma kijana ni nini?Hayaa kumekucha. .....
Wacha niende straight......
Wananishangaza wanaume bin wavulana wanaotumiwa na Town Boss Ladies kisa pesa khaaaa aibu yenu kwakweli.
Hivi mwanaume mzima na mandeke yako na mazivu yako unatumwa na Town Boss Lady kumfatilia mdada flani kisha have a date with her halafu na Boss Lady nae anaenda eneo husika kuangalia movement kisha baada ya hiyo date hata kama ulijikuta umefall kwa huyo mdada utatimuliwa na kuambiwa kazi yako imeisha sepaa .... Chapa lapaa.... move your ass and never turn back.....
Hivi kwelii mbona wanaume mnajishusha hadi hivyoo
NOTE: si wanaume wote najua umejiandaa kujibu vibaya. Kama wewe mwanaume ulitumiwa hivo na Boss Lady on 2015 pole na shame on you. 2016 jipange bora upige hata zege kuliko kutumwa hivyo. Ila kama wewe huku fanya hivo then comment..AM A REAL MAN NOT WORKING FOR BOSS
LADIES.
Kasie.
Hujaelewa we Pita kuchoka choka. Nilimaanisha mwanaume anatumwa mfatilie Chiku mtongoze kisha akikubali uende nae out for dinner au lunch na hapo unakuwa unamtaarifu Boss wako Town Boss Lady kuwa venue ni Kempisk hapo Boss Lady nae ataenda hapo kisha anakuwa pembeni kuangalia mnavoongea mnavocheka na mkishaondoka hapo basi anamwambia jamaa kazi yako imeisha hapo hakuna tena kuwasiliana na Chiku. Boss Lady lengo lake linakuwa ni kumuona Chiku tuu baasi. No usagaji hapo.una maana wakasagane au mimi ndo kichwa maji sijaelewa
duh! basi mi niko slow sana, haya mambo yanafanyikaga wapi kwa hapa dar sana sanaHujaelewa we Pita kuchoka choka. Nilimaanisha mwanaume anatumwa mfatilie Chiku mtongoze kisha akikubali uende nae out for dinner au lunch na hapo unakuwa unamtaarifu Boss wako Town Boss Lady kuwa venue ni Kempisk hapo Boss Lady nae ataenda hapo kisha anakuwa pembeni kuangalia mnavoongea mnavocheka na mkishaondoka hapo basi anamwambia jamaa kazi yako imeisha hapo hakuna tena kuwasiliana na Chiku. Boss Lady lengo lake kinakuwa ni kumuona Chiku tuu baasi. No usagaji hapo.
Hujaelewa we Pita kuchoka choka. Nilimaanisha mwanaume anatumwa mfatilie Chiku mtongoze kisha akikubali uende nae out for dinner au lunch na hapo unakuwa unamtaarifu Boss wako Town Boss Lady kuwa venue ni Kempisk hapo Boss Lady nae ataenda hapo kisha anakuwa pembeni kuangalia mnavoongea mnavocheka na mkishaondoka hapo basi anamwambia jamaa kazi yako imeisha hapo hakuna tena kuwasiliana na Chiku. Boss Lady lengo lake kinakuwa ni kumuona Chiku tuu baasi. No usagaji hapo.
kwa jina la hela lisilowezekana huwezekana trust meHao watakua sio wanaume kamili ni kama vijogoo vinavyo jifunza kuwika
Ataanzaje kumuona yaani Boss Lady anakuwa na anamsikia Chiku habari zake tuu sasa anaanza je kujiweka ushosti na Chiku. Matokeo yake ndo hayo anatumia wanaume wa hivo.Aisee kwahio boss lady hawezi kumuona chiku mpaka amtume mwanaume amtongoze??!! duniani kuna mambo.
hakika mkuu, maana hao ndo source, ukicheki yuko majalala mtaani anaona liwalo na liwe tuUwaonye na hao sijui ndo boss ladies kufanya mambo ya msingi pia, umri umeenda wafanye mambo ya kiutu uzima yanayoendana na umri wao
I don't give a dame to Boss Ladies let dem do shit dey want.Uwaonye na hao sijui ndo boss ladies kufanya mambo ya msingi pia, umri umeenda wafanye mambo ya kiutu uzima yanayoendana na umri wao
Kweli kabisa, lakini mtoa mada naona kawaonea haya hawa boss ladies....hakika mkuu, maana hao ndo source, ukicheki yuko majalala mtaani anaona liwalo na liwe tu
Sikuwahi kufikiria kama kuna wanawake machizi kama hao...Btw kama mwanamke nimempenda na nimeshatengeneza mazingira vizuri still naweza kumpata hata huyo boss lady akipiga mkwaraHujaelewa we Pita kuchoka choka. Nilimaanisha mwanaume anatumwa mfatilie Chiku mtongoze kisha akikubali uende nae out for dinner au lunch na hapo unakuwa unamtaarifu Boss wako Town Boss Lady kuwa venue ni Kempisk hapo Boss Lady nae ataenda hapo kisha anakuwa pembeni kuangalia mnavoongea mnavocheka na mkishaondoka hapo basi anamwambia jamaa kazi yako imeisha hapo hakuna tena kuwasiliana na Chiku. Boss Lady lengo lake linakuwa ni kumuona Chiku tuu baasi. No usagaji hapo.
yaani hao ninavyojua lazima watakuwa watoto wa kino tu, maana huko ndo utakuta masharobaro lakini hawana kazi, kama sio kuwa punda ndo kazi kama hizoKweli kabisa, lakini mtoa mada naona kawaonea haya hawa boss ladies....
Kwakweli tatizo lipo katika pande mbili, na hakuna namna ya kutatua tatizo bila ya hao boos lady kubadilika na vijana wavivu kubadilika..
Yes, nakubaliana na wewe...!I don't give a dame to Boss Ladies let dem do shit dey want.
I feel sorry for men who are easly used by these Boss Ladies..... they are keeping their profile so low
Men should see and be alert with kind of job he is doing...Nadhani maana ya neno "kujiajiri" linakupiga chenga.
Mtu kujiajiri si lazima uwe mfanyabiashara, msusi au bodaboda..