Tovuti ya Sido Tanzania mhh!!

Tovuti ya Sido Tanzania mhh!!

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
10,734
Reaction score
9,915
Wana Jf tatizo la websites za taasisi zetu mie naona kama vile tatizo ila inawezekana ni mtizamo wangu tu.

Ila ukiingia website ya SIDO Tanzania ili kuona Products walizonazo huwezi kupata moja kwa moja.

Badala yake unakuta Links za makampuni mengi ya India na haipo wazi sana.
Sasa kwa sie tulipo mjini inakuwa rahisi kuenda pale na kuulizia licha ya kwamba pia ni usumbufu,ila kwa wale waliopo nje ya mji inakuwa tabu sana kupata maelezo sahihi au kuona bidhaa inayoihitaji.Ambapo website ingewasadia sana.

Maana seheme ya kufungua ili upate hizo bidhaa unakuta kwamba ni Makampuni yaliyopo nje na wao inamaana kuwa kama madalali vile wakati najua kwamba wanazalisha.

Sasa hapa kuna kitu gani,na ukienda Sabasaba unawakuta na bidhaa ila kwenye website yao kweupee.

Sasa je hii ni taasisi ya wawekezaji wa nje ya nchi au Tanzania?na kwanini website haina kitu yaani products display

Hembu wakuu tusaidiane juu ya hili,kwa kuangala kwa kina hii website yao Welcome to SIDO
 
Sad! Tanzania ya viwanda Loading...!!
 
NIMEINGIA PIA KIUKWELI NI AIBU SASA SIJUI KUNA WATU WANALIPWA KUSIMAMIA HUU UPUUZI MAANA HAKUNA JIPYA.
 
Wana Jf tatizo la websites za taasisi zetu mie naona kama vile tatizo ila inawezekana ni mtizamo wangu tu.

Ila ukiingia website ya SIDO Tanzania ili kuona Products walizonazo huwezi kupata moja kwa moja.

Badala yake unakuta Links za makampuni mengi ya India na haipo wazi sana.
Sasa kwa sie tulipo mjini inakuwa rahisi kuenda pale na kuulizia licha ya kwamba pia ni usumbufu,ila kwa wale waliopo nje ya mji inakuwa tabu sana kupata maelezo sahihi au kuona bidhaa inayoihitaji.Ambapo website ingewasadia sana.

Maana seheme ya kufungua ili upate hizo bidhaa unakuta kwamba ni Makampuni yaliyopo nje na wao inamaana kuwa kama madalali vile wakati najua kwamba wanazalisha.

Sasa hapa kuna kitu gani,na ukienda Sabasaba unawakuta na bidhaa ila kwenye website yao kweupee.

Sasa je hii ni taasisi ya wawekezaji wa nje ya nchi au Tanzania?na kwanini website haina kitu yaani products display

Hembu wakuu tusaidiane juu ya hili,kwa kuangala kwa kina hii website yao Welcome to SIDO
Binafsi nimeingia nimeambulia patupu, tena bora bc ata ayo Makampuni mengine yangeelekeza vzr lkn wapi nayo ni upuuzi mtupu, mi nasemaga "Mwanafunzi akiwa tayari(MIMI NA WEWE) Mwalimu atajitokeza" sasa mwanafunzi labda tumekuwa wengi na mwalimu ni mmoja(SIDO) pengine waongezeke walimu😡😠
 
Back
Top Bottom