Tovuti ya jeshi la polisi tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tovuti ya jeshi la polisi tanzania

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Balantanda, Oct 4, 2008.

 1. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #1
  Oct 4, 2008
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  Salaam wakuu,,,,,katika pitapita yangu ndani ya mtandao nimekutana na hii:www.policeforce.go.tz.Kwa kiasi fulani ni nzuri...Hongera[/url] IGP Mwema kwa kuianzisha tovuti hii ambayo kwa kiasi fulani inajitosheleza...cha msingi ni kuiendeleza na kuifanyia 'updates' mara kwa mara.
   
 2. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2008
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inawezekana ni nzuri kwa kiasi fulani kama ulivyodai, wataalam wa mambo ya www wanakupa tahadhari unatengeneza web site epukana na rangi zanazoumiza macho, hilo ndo tatizo kubwa nililoliona katika website hiyo.
   
 3. M

  MpiganajiNambaMoja Member

  #3
  Oct 6, 2008
  Joined: Sep 20, 2007
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tovuti hii ya geshi la polisi ina matatizo/upungufu kibao. Nashawishika kusema kuwa imetengenezwa na mtu anayejifunza kazi. Ukiacha tatizo la rangi ambazo hazi reflect rangi halisi ya jeshi (cooperate color), pia layout yake haijakaa vyema. Taarifa hazijawa formated kwa umakini na navigation ya pages siyo user friendly.

  Hata hivyo ni hatua nzuri kwa jeshi. Nimatumaini yang itaboreshwa kadri siku zinavyoenda ikiwa ni pamoja na ku-update na kuweka data nyingi zaidi.
   
 4. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  Polisi wamekuwa wakitoa wanamichezo wazuri sana. Ila kuna madudu mengi sana kwenye hii awamu ya Kikwete. Ni aibu jeshi la polisi kuwa na website ya ovyo ovyo namna hii.

  Kuna takwimu za zamani (2004) kwenye hii website japo zimewekwa juzi juzi tu. Haiwezekani hawana takwimu za karibuni - haiwezekani! An outdated, non-dynamic or non-interactive website site like this... what for?  .
   
 5. Kilinzibar

  Kilinzibar Senior Member

  #5
  Oct 6, 2008
  Joined: Mar 6, 2008
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unajua tovuti inaweza ikawa na mwonekano mzuri lakini utendaji kazi katika kikosi ni balaa!! nisawa na kumvesha suti mtu asiye ona maji maishani mwake!!!
   
 6. Dar_Millionaire

  Dar_Millionaire JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2008
  Joined: Aug 6, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Samahani Mkuu,

  Ila hapo chini spelling sahihi ni "corporate"
  Unaweza ukakosa tenda hivihivi.

   
 7. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2008
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mbona huu uchafu haufunguki jamani, nimejaribu mara kibao kuifungua hii web, lakini inakataa. au ndo wako kwenye marekebisho?
   
 8. LazyDog

  LazyDog JF-Expert Member

  #8
  Oct 8, 2008
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 2,478
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  Kuna kosa kidogo pale juu.

  Try this,
  Tanzania Police Force Website - Mwanzo(Home)  .
   
 9. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #9
  Oct 8, 2008
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  OK, asante mkuu
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Oct 8, 2008
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Kwani uchafu ufunguliwa kwa namna gani?
   
Loading...