Tovuti ya Jambo leo imevamiwa

Tovuti ya Jambo leo imevamiwa

Magazetini

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
593
Reaction score
1,713
Habari wakuu,

Nimefungua tovuti ya gazeti ya Jambo leo, nimepokewa na maneno kuwa imevamiwa(imedukuliwa) na timu ya kumfuta Pinda na sambaza ujumbe kwa wote kutokomeza Escrow. Maneno ni mengi na wamesema ni mwanzo tu, picha nimeambatanisha. Naona hii vita imehamia kivingine.

jamboleo.png
 
Jambo Leo sijawahi ht kusoma, huwa naona km ni kipeperushi cha CCM na kila siku page1 huwa na habari zinazohusu Kagame wa Rwanda
 
Naanza kupata Kizunguzungu! Ina maana hii bado ni mbichi na ina maana nyingi kiasi hiki!
 
Daaaaaaaaaahhhhhhhhh!!!!!!!

Kweli mkuu nimejaribu.

Haya mambo ni kweli jamaa wamefanya kweli.

http://www.jamboleo.co.tz/


Watanzania wamechoka na wizi wa kishenzi pamoja na serikali ya Kishenzi ya WEZI.

HONGERA SANa


MIZAMBWA
NIMEFURAHI SANA!!!
 
Nimeipenda hii movement,wafanye na kwenye tovuti za serikali Maana zote wanatumia open source content management systems. Wazishushe zote
 
job welldone team udaku magazine...hack all website and blogs associating with CCM.
 
job welldone team udaku magazine...hack all website and blogs associating with CCM.

Ila Hawa hackers wame jianika sana,Ni rahisi kuwakamata.

All in all Mungu awabariki kwa hii kazi,ina pendeza kwa kweli.

Wote semeni Amina
 
safi sana waliofanya hiyo kazi tukufu!
 
Wakuu, mbona inafunguka vizuri? Au wamerekebisha mambo. Ila haina lolote la maana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom