Long'ututi
Member
- Dec 5, 2010
- 41
- 4
Hawa jamaa wa HELSB nadhani hawakufaya maandalizi kabla ya kuanzisha hii OLAS, mwanzoni kabla ya matokeo ya F6 ilikuwa infanyakazi vizuri lakinio traffic ilipoongezeka wameshindwa kubeba mzigo na sasa ime-crash.
Sasa hivi vijana wanashinda kwenye ofisi za hawa jamaa na hawapewi msaada wowote; tena hawa wako Dar, sijui wale walioko mikoani wanafanyaje? Simu zao za customer care wamezima!
I can smell a rotten rat in all this OLAS business!
Website yao itakuwa overloaded..watu wengi watakuwa wanaifungua.