Tovuti hizi nazo zina usajili wa Tanzania?

[HASHTAG]#Bring[/HASHTAG] Back our Ben.

[HASHTAG]#Free[/HASHTAG] our Melo
 
187e9eaf734b090043050385874adbdc.jpg
78a3a26ee1640a117ae9aeb2e5ddf53b.jpg

[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
Tanzania imeanza kukatisha tamaa
Ningeomba kujua kama tovuti hizi pia zina usajili wa Tanzania

View attachment 446923
 
Tatizo la wataalamu wetu ni kukubali kupokea maagizo yatokayo juu hata kama aliyetoa hana taaluma ya suala husika. Ona sasa wamekwama kwenye tope.

Ukimuuliza hapo utakuta ana phd...
au dr...
wasomi wetu wahakikiwe tena.
 
187e9eaf734b090043050385874adbdc.jpg
78a3a26ee1640a117ae9aeb2e5ddf53b.jpg

[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
Hapa ndiyo uwa namwelewa Mange ni kwa nini wakati mwangine anaamua kutukana na Matusi na kuingilia hadi issue za familia yake. Alijisemea @NyaniNgabu asitutishe kwanza sisi ndiyo tumemuajiri kututumikia
 
Nashindwa kupata jibu au picha halisi ya tatizo lililopo, ina maana mwanzo hii forum ilisajiliwa Tz ila kipindi hiki tu ndio inaonekana haikusajiliwa Hapa, je vipi kuhusu IPPMEDIA.COM, MILLADAYO.COM, na nyingine nyingi zenye .com na sio .co.tz ina maana nazo sio za hapa Tz.

Pili ina maana kampuni hii haikusajiliwa na brela au ndio siasa za kutufumba na kumbambikizia kesi maxence melo.

Lakini ALWAYS THE END JUSTIFY THE MEANS, na siku zote muda ni hakimu wa haki.....hakika 2020 itafika....bora nife kesho ila uhuru uwepo, ni nini maana halisi ya democracy ikiwa watu haturuhusiwi kufatilia au kukosoa serikali yetu.
Tapatalk Cloud - Downlaoad File tapatalk_1481918002106.jpeg
 
Siasa yataka uvumilivu.. Katika siasa haupaswi kujibu kila kitu unachohusishwa!
Yeye hawezi kuvumilia!
 
Mungu mtu kaamuwa anasahau kuwa kuna kauli inasema USIJARIBU KUWA MUNGU KWA MANA TAYARI YUPO•
 
Nashindwa kupata jibu au picha halisi ya tatizo lililopo, ina maana mwanzo hii forum ilisajiliwa Tz ila kipindi hiki tu ndio inaonekana haikusajiliwa Hapa, je vipi kuhusu IPPMEDIA.COM, MILLADAYO.COM, na nyingine nyingi zenye .com na sio .co.tz ina maana nazo sio za hapa Tz.

Pili ina maana kampuni hii haikusajiliwa na brela au ndio siasa za kutufumba na kumbambikizia kesi maxence melo.

Lakini ALWAYS THE END JUSTIFY THE MEANS, na siku zote muda ni hakimu wa haki.....hakika 2020 itafika....bora nife kesho ila uhuru uwepo, ni nini maana halisi ya democracy ikiwa watu haturuhusiwi kufatilia au kukosoa serikali yetu.
Tapatalk Cloud - Downlaoad File tapatalk_1481918002106.jpeg

JamiiForums haina ubatili ila nadhani ubatili upo kwa mbatilishaji mwenyewe aliyekwisha onyesha kubatilika mapema tu.

[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
 
Hivi Jf ni tovuti?
Tovuti ni mkusanyiko wa kurasa zilizoandikwa kwa lugha mbalimbali za tarakilishi kama vile HTML, PHP, XHTML na kadhalika na ambazo kwa pamoja hujumuika katika kutoa habari au maelezo kuhusu jambo fulani. Lugha hizi, yaani HTML, PHP, XHTML na kadhalika zinaweza tu kusomwa na kutafsiriwa na programu kama vile Internet Explorer Google Chrome na Mozilla Firefox kwa lugha ambayo inaweza kueleweka na binadamu. Wingi wake ni "tovuti" vile vile. Tovuti zote pamoja zinaitwa "mtandao" au "Intaneti" au "wavuti".
 
Back
Top Bottom