Toure Says... He deserves More Recognition...

Toure Says... He deserves More Recognition...

Logikos

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Posts
17,572
Reaction score
27,416
BBC Sport - Yaya Toure: Man City midfielder says he deserves more recognition

Baada ya kusoma tena leo yale yaliyosemwa na Nasri kwamba Toure hawi recognized sababu ametoka Africa..,

My Take
Ni kweli Toure ni One of the Best Midfielders in the world (Box to Box)ila kinachomponza sana Toure sio Uafrica wake sababu hata George Weah alishashinda European/World Player of the year bali ni yafuatayo:-

  • Midfielders (hasa hasa defensive /Box to Box) wasiofunga magoli mengi ni vigumu kuwa recognised
  • Amezaliwa/amecheza mpira wakati mbaya kuna kina Messi na Ronaldo ni vigumu sana kupambana na hawa..

Namalizia kwa qoute yake...
The Ivorian is also unhappy that Lionel Messi, widely regarded as one of the best players in the world along with Cristiano Ronaldo, is recognised around the world but players like himself are not.

Wadau naomba kuuliza hivi hawa viumbe hapo juu hata wangezaliwa Mars au Kwenye Sayari ya Pluto kweli wasingepata recognition ? Mimi nadhani Toure ni mzuri ndio, lakini kwenye kundi moja la akina Messi na Ronaldo inabidi tu akubali kwamba hao watakuwa recognized zaidi, na sababu sio sehemu waliyotoka
 
Toure kweli ni mzuri lkn ukimringanisha viungo wenzake tu kama Gerard, Xavi, Iniesta, Alonso, Modrick bado hawezi kuwaongoza wote hao kwa ubora sasa anapotaka kujiringanisha na kina Messi na Ronaldo ndio anakosea kabisa na kuonekana yupo overambicious.
 
Atulie tu aisee na akubali kuwa wapo wanaomzidi
 
Toure kweli ni mzuri lkn ukimringanisha viungo wenzake tu kama Gerard, Xavi, Iniesta, Alonso, Modrick bado hawezi kuwaongoza wote hao kwa ubora sasa anapotaka kujiringanisha na kina Messi na Ronaldo ndio anakosea kabisa na kuonekana yupo overambicious.

Huyu Jamaa angekaa kimya tu akacheza mpira wake ndio naweza nikmasema anamzidi Gerard, na hao wengine kina Iniesta ni debatable na kweli ni Muhimili mkubwa sana City.., lakini kwa kina Messi angekaa kimya tu...

Alafu analalamika recognition wakati nadhani ndio the most paid pale Man City na ukiongeza na package anazopewa huenda akawa kwenye the top earners kwenye Premier League.., alafu analalamika recognition !!!!!, sidhani kama kusema haya kunamsaidia chochote sana sana anaonekana selfish au haya angeyasema alivyokuwa Barcelona sio sasa
 
Hayo malalamiko angeyatoa JJ Ochocha enzi zake wakati yuko on his peak, ningeelewa.
Yaya ni mchezaji mzuri lakini sio wa level ya Pirlo
 
Anaona kuwa recognized Man city haimtoshi, labda anaona umri unakwenda hivyo msimu huu akiwa kwenye peak bora aseme asikike anaweza kufikiriwa lkn kwa kiwango cha kina Messi ndoto zake zitachelewa sana huku kuna vipaji vipya vya kina Diego Costa, Bale, Hazard wanakuja kwa kasi ya ajabu.
 
Anaona kuwa recognized Man city haimtoshi, labda anaona umri unakwenda hivyo msimu huu akiwa kwenye peak bora aseme asikike anaweza kufikiriwa lkn kwa kiwango cha kina Messi ndoto zake zitachelewa sana huku kuna vipaji vipya vya kina Diego Costa, Bale, Hazard wanakuja kwa kasi ya ajabu.

Hujui mpira kalisha makalio chini
 
Hujui mpira kalisha makalio chini

Uungwana ni vitendo. Itakuwa unasumbuliwa na Liverpooliosis ndio maana unataka kila mtu aamini kuwa Toure ni kama Messi na Ronaldo kisa ni muafrika.
 
Yaya Toure hajasema uongo kuhusu angekuwa Brazilian au European Midfield watu wangemchukulia mkali zaidi! Sababu kwa sasa hivi Yaya Toure ni Best Midfield ila Media habari wameziongezea chumvi vibaya...... Tuje kwake Yaya Toure naye akumbuke kuna Midfield zimetumia miaka mingi Kuwa juu yake na kuendelea kufanya vizuri anatakiwa atawale kwa muda wa miaka 3 mpaka 5 aonekane kama legend so kuna vitu Kasema kweli ila asijiangushe kiroho yeye aendelee kucheza football Kama kulalamika basi hata Eniesta angelalamika ila Kaia hia football akipata prize sawa asipopata Eniesta kaona sawa tu.
 
Yaya Toure hajasema uongo kuhusu angekuwa Brazilian au European Midfield watu wangemchukulia mkali zaidi!

Mkuu tuliwazungumzia sana kina Ronaldo sababu ya ule uchawi wao (creativity) kwahio ni rahisi kuonekana pia wanayofanya hayasifiki ndio maana kila mtu anawajua kina Zidane na sio kina Claude Makalele wala kina Mascherano.., kwahio Toure kinachomponza sana sana sio sababu ni African bali ni kama nilivyosema hapo juu..

Mbona hata kina Rivaldo (Brazilian) naweza kusema hakupata recognition ya kutosha ingawa ni from Brazil.., Kina Juan Riqueleme, Denis Bergkamp hata kina Roy Keane (sababu ya position na aina ya uchezaji).., sometimes hata ukiwa flamboyant kama kina Baloteli au hata ukiwa na nywele za ajabu (kina Taribo West) inasaidia katika kujulikana na kusemwa sana. Ndio maana watu kama David Beckham kusemwa kwao sana na mengine mengi sio sababu ya mpira tu hata image na off the field activities..

Huyu Toure kuleta mambo ya Uafrika kwamba ndio unamponza anaonekana ana inferiority complex na anasahau kina George Weah walifanya nini tena hata bila kupata exposure ya World Cup
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom